Sheria ya Takwimu Na.9 ya Mwaka 2015 ni miongoni mwa Sheria zilizofanyiwa urekebu (revision) Mwaka 2019 na kutangazwa na Serikali tarehe 28 Februari, 2020 (GN 140/2020). Urekebu huo katika Sheria ya Takwimu unajumuisha marekesho ya Mwaka 2018 na 2019.
Kwa mantiki hiyo, kuanzia tarehe 28 Februari, 2020, Sheria ya Takwimu itanukuliwa kama “Sheria ya Takwimu, SURA 351”.
Bonyeza hapa kusoma Sheria ya Takwimu, SURA 351