• takwimuhouse

    Mchoro wa jengo jipya la "TAKWIMU HOUSE" litakalojengwa mjini Dodoma. Jengo hili ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa kuboresha Takwimu Tanzania (TSMP)

 

 

Takwimu za Leo

Mfumuko wa Bei

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Aprili, 2017 umebaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi Machi, 2017. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili, 2017 imekuwa sawa na kasi ya upandaji ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Machi, 2017. 

Kwa taarifa kamili bonyeza hapa