Takwimu za Wafungwa na Mahabusu Tanzania Bara mwaka 2013  na 2014

Taarifa hii rasmi ya kitakwimu ni ya kwanza kutolewa na Jeshi la Magereza Tanzania Bara.Taarifa inahusu wafungwa na mahabusu waliokuwa magerezani katika kipindi cha mwaka 2013 na 2014.

Bonyeza HAPA kupata taarifa kamili