Makadirio ya Idadi ya Watu  katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016,  Tanzania Bara

Taarifa hizi ni za makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016. Takwimu hizi zimetolewa kwa mkoa, halmashauri, jimbo la uchaguzi na kata. Makadirio ya idadi ya watu yametokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 kwa kutumia mbinu za kidemografia zinazohusisha mabadiliko katika viwango vya uzazi, vifo, uhamaji na uhamiaji.

Bonyeza HAPA kupata taarifa kamili katika fomati ya PDF (6.4MB)