Orodha ya viwanda kwa Tanzania Bara - Desemba 2015

 

Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetoa orodha ya viwanda kwa Tanzania Bara.

Tanzania Bara ina viwanda 50,776 kwa takwimu za Desemba 2015.

Orodha hii inaonyesha Jina la kiwanda, mkoa , wilaya na kata kilipo na shughuli kuu ya kiuchumi kufuata "Mwongozo wa Kimataifa wa Kuainisha Shughuli za Kiuchumi Toleo la Nne (International Standard Industrial Classification - Rev 4)". 

Bonyeza hapa kupata Orodha ya viwanda vyote....