Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 tarehe ya kuanza kutumika

Tunatoa taarifa kuwa, Sheria ya Takwimu Na. 9 ya mwaka 2015 imeanza kutumika rasmi tarehe 2 Novemba, 2015 kupitia Tangazo la Serikali Na. 491 la tarehe 30 Oktoba, 2015.

Click Here for Statistics Act, 2015