NBS yapata tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu kwa mwaka 2014.

Ofisi ya Taifa ya Takwimu imekuwa kinara na kupata tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu kwa mwaka 2014 kwa kutoa taarifa bila kificho. Tuzo hiyo imetolewa tarehe 28/09/2014 na Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika (Tanzania-Media Institute of Southern Africa - Tan MISA)