Pato La Taifa Kwa Robo Ya Pili Ya Mwaka, Aprili – Juni, 2013 – Taarifa Kwa Umma

Ukuaji halisi wa Pato la Taifa la Tanzania kwa bei za soko uliongezeka kwa kasi ya asilimia 6.7 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2013 ikilinganishwa na kasi ya asilimia 6.4 katika kipindi kama hicho mwaka 2012.

Jumla ya thamani ya Pato la Taifa katika kipindi husika ilikuwa Shilingi 5,012,935 milioni mwaka 2013 ikilinganishwa na Shilingi 4,699,884 milioni mwaka 2012.

Kwa taarifa kamili endelea hapa ....