Muhtasari wa Matokeo ya Pato la Taifa Robo ya Tatu 2016

Mwaka 2016, Robo ya Tatu ya Pato la Taifa kwa bei za miaka husika lilikuwa na thamani ya Shilingi Trilioni 25.5  ikilinganishwa na Shilingi Trilioni 22.7 zilizopatikana katika robo ya tatu ya mwaka 2015.

Robo ya Tatu ya Pato la Taifa mwaka 2016 kwa bei za mwaka 2007 lilikuwa Shilingi Trilioni 11.6 ikilinganishwa na Shilingi Trilioni 10.8 zilizopatikana katika kipindi kama hicho mwaka 2015. Pato la Taifa katika Robo ya Tatu ya mwaka 2015 liliongezeka kwa kasi ndogo ya asilimia 6.2 ikilinganishwa na asilimia 7.3 ya kipindi kama hicho mwaka 2015.

 

Kwa Taarifa zaidi bonyeza hapa