Muhtasari wa Pato la Taifa Robo ya tatu (Julai – Septemba) Mwaka 2017

Thamani ya Pato Halisi la Taifa katika kipindi cha Julai hadi Septemba mwaka 2017 iliongezeka na kufikia Shilingi trilioni 12.4 kutoka Shilingi trilioni 11.6 kipindi kama hicho mwaka 2016, ambayo ni sawa na kasi ya ukuaji ya asilimia 6.8.

Bonyeza hapa kupata Taarifa zaidi ...