CPI Januari 2014 (Kiswahili)

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unapima kiwango cha badiliko la kasi ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi.

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Januari, 2014 umeongezeka hadi asilimia 6.0 kutoka asilimia 5.6 mwezi Desemba, 2013.

Fahirisi za Bei zimeongezeka hadi 146.60 kwa mwezi wa Januari, 2014 kutoka 138.26mwezi Januari, 2013. Mfumuko wa Bei wa Vyakula na Vinywaji Baridi umebaki kuwa asilimia 6.0 mwezi Januari, 2014 kama ilivyokuwa mwezi Desemba, 2013.

Kwa taarifa kamili endelea hapa ....