Mfumuko wa Bei kwa mwezi Septemba 2016

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2016 umepungua hadi asilimia 4.5 kutoka asilimia 4.9 ilivyokuwa mwezi Agosti, 2016. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2016 imepungua ikilinganishwa na kasi ya upandaji ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti, 2016. Fahirisi za Bei zimeongezeka hadi 103.05 mwezi Septemba, 2016 kutoka 98.64 mwezi Septemba, 2015. 

Pata Taarifa kamili hapa