Mfumuko wa Bei kwa mwezi Mei, 2017

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Mei, 2017 umepungua hadi asilimia 6.1 ikilinganishwa na asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Aprili, 2017. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Mei, 2017 imepungua ikilinganishwa na kasi ya iliyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili, 2017. 

Kwa taarifa kamili bonyeza hapa