Mfumuko wa Bei kwa mwezi Julai, 2017

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2017 umepungua zaidi hadi kufikia asilimia 5.2 ikilinganishwa na asilimia 5.4 ilivyokuwa mwezi Juni, 2017. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Julai, 2017 imepungua zaidi  ikilinganishwa na kasi ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni, 2017. 

Kwa taarifa kamili bonyeza hapa