Takwimu Muhimu za Tanzania, 2014 ni toleo la mwaka 2015 ambalo linatoa takwimu muhimu kidemografia, kijamii na kiuchumi. Pia, linaonesha viashiria vya kitakwimu vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka 2015


Kijitabu hiki kina takwimu kutoka katika machapisho mbalimbali ya kitakwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala za Serikali. Kwa hiyo kijitabu hiki kitumike kama rejea kwa ajili ya takwimu hizo.

Bonyeza kusoma kijarida cha Takwimu muhimu za Tanzania , toleo la 2015.

Bonyeza kupakua kijarida cha Takwimu muhimu za tanzania , toleo la 2015.