Kitabu Cha Hali Ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2015

Mwaka 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7.0 sawa na kiwango cha ukuaji cha mwaka 2014. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na kuongezeka kwa ufuaji wa umeme uliosaidia katika shughuli mbalimbali ikiwemo uzalishaji viwandani; kuongezeka kwa uzalishaji wa saruji kwa ajili ya mahitaji ya shughuli za ujenzi; na kuongezeka kwa mikopo kwa sekta binafsi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi.

 Bonyeza HAPA kupata Kitabu chenye taarifa kamili ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2015