Sensa ya Watu na Makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchakata, kuchambua, kutathmini, kuchapisha, kusambaza na kutunza takwimu za kidemografia, kiuchumi na mazingira wanayoishi katika nchi kwa kipindi maalum. Utaratibu huu huwezesha kupatikana kwa taarifa za msingi za kitakwimu kama idadi ya watu wote kwenye nchi kwa umri, jinsi, hali ya ulemavu, hali ya elimu, shughuli za kiuchumi, hali ya makazi, vizazi, vifo na nyingine kama zilivyoainishwa katika Dodoso la Sensa.

Bonyeza Hapa Kusoma Matokeo ya Mwanzo

Madodoso ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022