Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipoweka jiwe la Msingi la Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoa wa Kigoma. Wanaoshuhudia ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa na viongozi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma.

 

 

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Amina Msengwa wakipokea Hati Miliki ya Kiwanja cha Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoa wa Kigoma kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Rashid Mchata (Kulia) wakati wa uwekaji jiwe la Msingi kwenye jengo la ofisi za Takwimu mkoa wa Kigoma.