Sensa ya Kilimo, Mifugo na uvuvi kwa Mwaka wa Kilimo 2019/20

Mafunzo ya Wadadisi yazinduliwa rasmi Mwanza - 25 - 07 - 2020

 

Makamu Mwenyekiti, Bodi ya Usimamizi ya NBS Dkt. Madete akifafanua jambo wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo ya wadadisi watakaohusika katika kukusanya Takwimu katika mradi wa Sensa ya Kilimo , Mifugo na Uvuvi ya mwaka wa Kilimo 2019/20 yaliyozinduliwa rasmi mkoani Mwanza 25 July 2020. 

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na viongozi pamoja na wadadisi watakaohusika katika kukusanya Takwimu katika mradi wa Sensa ya Kilimo , Mifugo na Uvuvi ya mwaka wa Kilimo 2019/20 kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo jijini Mwanza.