Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Februari, 2018

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Februari, 2018 umeongezeka kidogo hadi asilimia 4.1 kutoka asilimia 4.0 mwezi Januari, 2018. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2018 imeongezeka ikilinganishwa na kasi ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Januari, 2018. 

Kwa taarifa kamili bonyeza hapa