Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Januari, 2018 umebaki kuwa asilimia 4.0 kama ilivyokuwa mwezi Desemba, 2017. Kwa ujumla, hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Januari, 2018 imekuwa sawa na kasi ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Desemba, 2017. Fahirisi za Bei zimeongezeka hadi 110.13 mwezi Januari, 2018 kutoka 105.92 mwezi January, 2017.

Kwa taarifa kamili bonyeza hapa