Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Julai, 2019 umebaki kuwa asilimia 3.7 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni, 2019. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Julai, 2019 imebaki kuwa sawa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia mwezi Juni, 2019. Fahirisi za Bei zimeongezeka hadi 116.61 mwezi Julai, 2019 kutoka 112.44 mwezi Julai, 2018.   

Bonyeza hapa kupata Mfumuko wa Bei kwa mwezi Julai ,2019