Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2021 umepungua kutoka asilimia 3.5 kwa mwaka ulioishia mwezi Januari, 2021 hadi asilimia 3.3. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2021 imepungua ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia mwezi Januari, 2021. Fahirisi za Bei zimeongezeka kutoka 99.16 mwezi Februari, 2020 hadi 102.44 mwezi Februari, 2021.      

Bonyeza hapa kupata Mfumuko wa Bei kwa mwezi Februari, 2021