Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Mei, 2022 umeongezeka hadi asilimia 4.0 kutoka asilimia 3.8 kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili, 2022. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Mei, 2022 imeongezeka ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili, 2022. Fahirisi za Bei zimeongezeka kutoka 104.22 mwezi Mei, 2021 hadi 108.42 mwezi Mei, 2022.

Bonyeza hapa kupata Mfumuko wa Bei kwa mwezi Mei,2022