Muhtasari wa Matokeo ya Pato la Taifa Robo ya Kwanza ya Mwaka 2017

Pato la Taifa katika robo ya kwanza ya mwaka 2017 kwa bei za mwaka 2007 lilikuwa Shilingi trilioni 12.7 ikilinganishwa na Shilingi trilioni 12.0 zilizopatikana katika kipindi kama hicho mwaka 2016. Pato la Taifa katika Robo ya kwanza ya mwaka 2017 liliongezeka kwa kasi ndogo ya asilimia 5.7 ikilinganishwa na asilimia 6.8 ya kipindi kama hicho mwaka 2016. 

Kwa Taarifa zaidi bonyeza hapa