Thamani ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015 iliongezeka hadi shilingi trilioni 30.0 katika robo ya kwanza ya mwaka 2019 kutoka shilingi trilioni 28.2 katika robo ya kwanza ya mwaka 2018, sawa na kasi ya ukuaji wa asilimia 6.6. Taarifa za Pato la Taifa za kila robo mwaka hutumika kutathimini mabadiliko ya kiuchumi katika vipindi vifupi hivyo kuwezesha kufanya afua za sera za uchumi kwa wakati.

Bonyeza HAPA kusoma Muhtasari wa Pato la Taifa Robo ya Kwanza 2019 (Pdf file)