Thamani ya Pato la Taifa kwa bei za miaka husika ilikuwa shilingi trilioni 36.7 katika robo ya kwanza (Januari - Machi) ya mwaka 2020 ikilinganishwa na shilingi trilioni 33.5 katika katika kipindi kama hicho mwaka 2019. Aidha, katika kipindi hicho, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015 iliongezeka hadi shilingi trilioni 31.6 mwaka 2020 kutoka shilingi trilioni 29.9 mwaka 2019 sawa na ukuaji wa uchumi wa asilimia 5.7.

Kusoma zaidi bonyeza hapa.