Katika kipindi cha robo ya tatu (Julai- Septemba) ya mwaka 2020, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za miaka husika ilikuwa shilingi trilioni 35.3 ikilinganishwa na shilingi trilioni 32.6 katika kipindi kama hicho mwaka 2019. Vile vile, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015 iliongezeka hadi shilingi trilioni 30.3 katika robo ya tatu ya mwaka 2020 kutoka shilingi trilioni 29.0 katika kipindi kama hicho mwaka 2019 sawa na ukuaji wa asilimia 4.5.

Kusoma zaidi bonyeza hapa