Takwimu za Pato la Taifa ni miongoni mwa viashiria muhimu vinavyotumika kutathmini mwenendo wa uchumi jumla katika muda mfupi, wa kati na mrefu. Viashiria vingine ni pamoja na mwenendo wa bei na viwango vya riba, ujazi wa fedha, uwiano wa mizania ya malipo nje ya nchi na uwiano wa bajeti ya Serikali.

Bonyeza kupakua taarifa za ufafanuzi wa Takwimu hizi