Viashiria vya kiuchumi vya muda mfupi (High-Frequency Data) ni taarifa zinazotayarishwa kwa ajili ya kufanya  tathmini na ufuatiliaji wa shughuli mbalimbali za uchumi katika vipindi vifupi. Viashiria hivi vinahusika na uzalishaji wa umeme na saruji pamoja na taarifa za idadi ya watalii wanaoingia nchini na matumizi ya simu.

Kusoma zaidi bonyeza hapa