Pato la Taifa katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2021 (Julai - Septemba), kwa bei za miaka husika liliongezeka hadi shilingi trilioni 37.0 kutoka shilingi trilioni 34.5 kipindi kama hicho mwaka 2020. Aidha, katika kipindi hicho, Pato Halisi la Taifa liliongezeka hadi shilingi trilioni 32.0 kutoka shilingi trilioni 30.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2020 sawa na ukuaji wa asilimia 5.2.

Bonyeza hapa kupata muhtasari