Pato la Taifa katika kipindi cha robo ya nne ya mwaka 2021 (Oktoba - Desemba), kwa bei za miaka husika liliongezeka hadi shilingi trilioni 43.4 kutoka shilingi trilioni 40.4 kipindi kama hicho mwaka 2020. Aidha, katika kipindi hicho, Pato Halisi la Taifa liliongezeka hadi shilingi trilioni 36.9 kutoka shilingi trilioni 35.2 katika kipindi kama hicho mwaka 2020 sawa na ukuaji wa asilimia 4.9.

Bonyeza hapa kupata muhtasari