Muhtasari wa Pato la Taifa Robo ya Tatu Mwaka 2022

Pato la Taifa katika Robo ya Tatu (Julai - Septemba) mwaka 2022, katika bei za mwaka husika liliongezeka hadi Shilingi Trilioni 42.9 kutoka Shilingi Trilioni 38.4 katika kipindi kama hicho mwaka 2021. Aidha, Katika kipindi hicho Pato Halisi la Taifa (bei za mwaka wa kizio 2015) liliongezeka hadi Shilingi Trilioni 33.9, kutoka Shilingi Trilioni 32.2 katika kipindi kama hicho mwaka 2021, sawa na kiwango cha ukuaji wa asilimia 5.2.

Kupakua taarifa hii bofya hapa