Kazi ya kuandaa Atlasi ya Malaria katika ngazi ya Halmashauri za Wilaya Tanzania ilifanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali (OCGS) – Zanzibar kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto – Tanzania Bara na Wizara ya Afya – Zanzibar.

Bofya hapa kupata Atlasi ya Malaria katika Ngazi ya Halmashauri