Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 (TDHS-MIS) ni utafiti wa Saba (7) kufanyika nchini Tanzaniakupitia programu ya DHS. Ripoti hii ya Viashiria Muhimu inatoa baadhi ya matokeo ya viashiria vichache muhimu vilivyochaguliwa kutoka Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022. Uchambuzi wa kina wa matokeo ya Utafiti huu utawasilishwa katika ripoti itakayotolewa kuu katika robo ya pili ya mwaka 2023.

Kupakua taarifa hii bofya hapa