Ofisi ya Taifa ya Takwimu inapenda kuchukua fursa hii kutangaza orodha ya majina ya Makarani wa Sensa, Wasimamizi wa Maudhui na Wasimamizi wa Tehama ambao wamekidhi sifa zinazohitajika na waliofaulu usaili uliofanywa na Kamati za Sensa za Wilaya na Kata kati ya tarehe 19 hadi 21 Julai, 2022.

Taarifa kuhusu Matokeo ya Usaili

Kupata Majina ya Matokeo ya Usaili bonyeza hapa