Katika miaka mitano iliyopita, Tanzania imepata mafanikio makubwa kiuchumi kutokana na utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Uchumi umeendelea kukua kwa kasi ya wastani wa asilimia 6.9 kwa miaka mitano iliyopita, ikiwa ni ukuaji mkubwa zaidi ikilinganishwa na miaka iliyopita na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi chache barani Afrika ambayo uchumi wake unakua kwa kasi zaidi. Kutokana na ukuaji huo, Benki ya Dunia iliitangaza Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati mwaka 2019.

Kwa Taarifa zaidi bonyeza HAPA