Taarifa ya mwenendo wa watalii waliongia nchini ni miongoni mwa taarifa za muda mfupi (high-frequency data) zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu SURA 351.

Katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Aprili 2022, idadi ya watalii 367,632 kutoka nje ya nchi walitembelea vivutio mbalimbali vya utalii ikilinganishwa na watalii 275,097 walioingia nchini kipindi kama hicho mwaka 2021. Hili ni ongezeko la watalii 92,535 sawa na asilimia 33.6.

Bonyeza hapa kupata taarifa hii ya watalii