Idadi ya watalii kutoka nje ya nchi waliotembelea vivutio mbalimbali vya utalii katika kipindi cha Januari hadi Mei 2022 wameendelea kuongezeka hadi 458,048 ikilinganishwa na watalii 317,270 walioingia nchini kipindi kama hicho mwaka 2021, ikiwa ni sawa na asilimia 44.4
Bonyeza hapa kupata taarifa hii ya watalii