Idadi ya watalii kutoka nje ya nchi waliotembelea vivutio mbalimbali vya utalii katika kipindi cha Januari hadi Julai 2022 waliendelea kuongezeka hadi 742,133 ikilinganishwa na watalii 456,266 walioingia nchini kipindi kama hicho mwaka 2021, ikiwa ni sawa na asilimia 62.7. Kati ya watalii 742,133 walioingia nchini, watalii 222,449 waliingia nchini kupitia Zanzibar ambao ni sawa na asilimia 30.0 ya watalii wote.

Bonyeza hapa kupata taarifa zaidi .....