Idadi ya watalii walioingia nchini katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2022 iliongezeka hadi 1,454,920 ikilinganishwa na watalii 922,692 walioingia nchini kipindi kama hicho mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la watalii 532,228 sawa na asilimia 57.7.

Bonyeza hapa kupata taarifa zaidi