NBS yaelimisha umma Sheria ya Takwimu Namba 9 ya Mwaka 2015 - 29-01-2018

Pic129012018 f2e6c

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa semina ya siku moja ya kuelimisha umma kuhusu Sheria ya Takwimu Namba 9 ya Mwaka 2015 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Pic229012018 dca2b

Mwanasheria wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Oscar Mangula akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa semina ya siku moja kuhusu Sheria ya Takwimu Namba 9 ya Mwaka 2015 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.