Mfumuko wa Bei

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba, 2018 umepungua hadi asilimia 3.0 kutoka asilimia 3.2 kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2018.

Kwa taarifa kamili ya Mfumuko wa bei kwa mwezi Novemba 2018 bonyeza hapa

 
 
 

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba 2018

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba, 2018 umepungua hadi asilimia 3.0 kutoka asilimia 3.2 kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2018. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba, 2018 imepungua ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2018. Fahirisi za Bei zimeongezeka hadi 112.17 mwezi November, 2018 kutoka 108.94 mwezi Novemba, 2017.

Kwa taarifa kamili ya Mfumuko wa bei kwa mwezi Novemba 2018 bonyeza hapa