Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI 2016 - 17

Matokeo ya awali yanaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi kwa watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi kinatofautiana kimkoa nchini Tanzania kutoka asilimia 11.4 mkoa wa Njombe hadi chini ya asilimia moja mkoa wa Lindi na Zanzibar

Maambukizi mapya ya VVU kwa mwaka kwa watu wa umri wa miaka 15-64 nchini ni asilimia 0.29 (kwa wanawake ni asilimia 0.40 na wanaume ni asilimia 0.17). Hii ni sawa na kusema maambukizi mapya kwa watu wa umri kati ya miaka 15-64 nchini Tanzania ni takribani watu 81,000 kwa mwaka.

Bonyeza hapa kupata Matokeo yote ya awali kwa lugha ya Kiswahili.

Bonyeza hapa kupata Matokeo yote ya awali kwa lugha ya Kiingereza