Pato La Taifa Kwa Robo Ya Tatu Ya Mwaka,Julai - Septemba, 2013 – Taarifa Kwa Umma

Katika kipindi cha Julai - Septemba 2013, Pato la Taifa kwa bei za soko liliongezeka kwa kasi ya  asilimia 6.5 ikilinganishwa na asilimia 7.2 kipindi kama hicho mwaka 2012

Jumla ya thamani ya Pato la Taifa katika kipindi husika mwaka 2013 ilikuwa Sh. trilioni 5.9 ikilinganishwa na Sh. trilioni 5.5 mwaka 2012.

Kwa taarifa kamili endelea hapa ....