Taarifa Kuhusu Pato La Taifa Kwa Robo Mwaka Ya Kwanza (Januari – Machi, 2014)

Ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei ya soko uliongezeka kwa kasi ya asilimia 7.4 katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2014 ikilinganishwa na kasi ya asilimia 7.1 katika kipindi kama hicho mwaka 2013.

Bonyeza hapa kupata Taarifa zaidi ......