MATOKEO YA AWALI YA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA, OKTOBA – DESEMBA 2015

Pato la Taifa kwa robo mwaka ni thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa nchini katika vipindi vya miezi mitatu mitatu ambavyo ni Januari – Machi, Aprili – Juni, Julai – Septemba na Oktoba - Desemba. Takwimu za Pato la Taifa hujumuisha shughuli zote za kiuchumi.

Matokeo haya ya awali ya Pato la Taifa ni kwa robo ya nne ya mwaka 2015.

Taarifa hii inapatikana hapa