Mfumuko wa Bei kwa mwezi Agosti, 2017

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2017 umepungua zaidi hadi kufikia asilimia 5.0 ikilinganishwa na asilimia 5.2 ilivyokuwa mwezi Julai, 2017. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti, 2017 imepungua zaidi  ikilinganishwa na kasi ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Julai, 2017. 

Kwa taarifa kamili bonyeza hapa