Mfumuko wa Bei kwa mwezi Septemba, 2017

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2017 umeongezeka hadi asilimia 5.3 kutoka asilimia 5.0 mwezi Agosti, 2017. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2017 imeongezeka ikilinganishwa na kasi ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti, 2017. 

Kwa taarifa kamili bonyeza hapa