NBS Accessibility Tools
NBS Accessibility Tools

Text Size

Language

Inflation Rate for May, 2026: 4.2% AASS 2023/2024 Women's Empowerment and Nutrition Module: WEN Tanzania Gender and Environment Survey: TGES 2025 Utafiti wa Kufuatilia Kaya (National Panel Survey, Wave 6: NPS 2026
The United Republic of Tanzania

National Bureau of Statistics

Mhandisi Luoga Atembelea Mabanda Maonesho ya Siku ya Takwimu Afrika 2025
Posted On: 19 November, 2025
Mhandisi Luoga Atembelea Mabanda Maonesho ya Siku ya Takwimu Afrika 2025

Mgeni rasmi katika Hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Matumizi ya Nishati katika Kaya ya mwaka 2023, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadilifu Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga akitembelea  mabanda ya maonesho ya takwimu mbalimbali, ikiwemo za nishati na matumizi ya nishati kwa kaya, yanayoendelea katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS jijini Dodoma tarehe 17 Novemba 2025.